Saturday, November 3, 2018

JINSI YA KUPATA PESA KUPITIA APP YA BRANCH


Download file la PDF hapa

UTANGULIZI
Branch ni app inayopatikana kwenye simu za android ambayo inamuwezesha mteja kupata mkopo wa haraka na kwa urahisi zaidi. Lakini nina kwenda kukuonesha siri iliyopo ndani ya app hii ambayo itakuwezesha kujiingizia kipato kwa kila mtu unayemkaribisha kutumia app hii. Hii ni njia rahisi ambayo haihitaji ufahamu mwingi wala haichukui muda mrefu, kinachohitajika ni uzoefu wa kutumia smartphone na internet. Kiukweli siwezi kutabiri ni kiasi gani utaingiza kwa sababu kiasi kinaendana na ukubwa wa kazi utakayoifanya, yaani ukikaribisha watu wengi unapata kiasi kikubwa zaidi. Usiwe mtu wa kusubiri maana ofa hii inaweza kuzuiliwa siku za usoni kwa wale ambao bado hawaja jiunga, ila kwa ambao wamejiunga tayari ofa itadumu bila kikomo, hii ni kwa sababu kampuni ya branch.int inahitaji wateja wengi ndio maana imetoa ofa hii kwa wateja waliopo na wanaoendelea kujiunga.



MAHITAJI NA VIGEZO
Ili kukamilisha shughuli nzima ni lazima uwe na vitu vifuatavyo:
1. Smartphone inayotumia android
2. SIM card ya vodacom (iwe imesajiliwa)
3. Salio la internet kwenye SIM card (MBs)
4. Kitambulisho (cha taifa au cha mpiga kura au leseni ya udereva)
5. Akaunti ya Facebook
6. Barua pepe ya Gmail au Yahoo (hii sio lazima)
Ingawa mlolongo wote ni bure, itakuwa vema kama utakuwa na kiasi cha Tsh2000 kwenye akaunti yako ya M-PESA kwa ajili ya riba na makato yanayofanywa na makampuni yenyewe.

Pia ni muhimu ukazingatia vigezo vifuatavyo ili kuepuka kukataliwa:
1. Vitu kama smartphone, SIM card, kitambulisho na akaunti ya Facebook viwe vile ambavyo havijawahi tumiwa kwenye app ya BRANCH.
2. Tumia namba ya kitambulisho halali, kama huna basi waweza azima kwa rafiki yako wa karibu ambaye hajawahi kukitumia
3. Picha ya profile ya Facebook ni lazima iwe ni picha ya mtu anayeonekana vizuri (picha yako)
4. Hakikisha umeunganishwa na internet (umewasha data) katika milolongo yote.
5. Uwe una umri wa miaka 18 na kuendelea.
6. Hakikisha umeweka SIM card moja tu kwenye simu yako, SIM card hii ni ya vodacom ambayo utaitumia kutengeneza akaunti na kupokea pesa kupitia M-Pesa.
7. Usijaribu kubuni namba ya kitambulisho, maana zinafahamika kitaifa.



JINSI YA KUTENGENEZA ACCOUNT 
Download app ya Branch kwa kubofya hapa
Pia unaweza search app kwa kuandika ‘branch” kwenye app ya Google PlayStore.




Ifungue app yako ya branch, hakikisha unakubali permissions zote ili app ya branch iweze kufanya mawasiliano na simu yako kwa usahihi. Baada ya hayo utakutana na kitu kama hichi:






Chagua lugha ya kutumia, ila sisi tutatumia Kiswahili kwa sababu ndiyo lugha yetu ya taifa la Tanzania, kisha bofya kitufe kilicho andikwa Endelea.




Utakutana na ukurasa kama huu, bofya maneno yaliyoandikwa “AMA SAJILI AKAUNTI MPYA”



Changua nchi, kisha bofya kitufe kilichoandikwa “Sajili Na Nambari Ya Simu”



Ingiza namba yako ya simu. Ingawa wengi wamezoea kuweka sifuri mwanzoni mwa namba, hapa usiiweke, yaani kama namba yako ni 0767400400 basi iandike kama 767400400 kwa sababu tayari wameweka kodi ya nchi. Bofya kitufe kilicha andikwa “Sajili akaunti mpya.



Utatumiwa kodi kupitia SMS ili kuthibitisha kama namba yako ni sahihi au sio sahihi. Andika kodi hiyo au yaweza kujiandika yenyewe kisha endelea.

Utakutana na sehemu ambayo inakubidi ujaze Jina kamili, namba ya kitambulisho na tarehe ya kuzaliwa.
Nitaeleza kwa ufupi kuhusu namba ya kitambulisho:
Kama unatumia kadi ya mpiga kura, namba ya kitambulisho imezungushiwa kwa rangi nyekundu:



Usiweke T ya mwanzo, ila andika namba yote inayofuata pamoja na mikato (-). Mfano namba ya hapo juu utaiandika kama 1003-3925-839-7 bila kuweka T.

Kama unatumia kitambulisho cha taifa, namba ya kitambulisho imezungushiwa kwa rangi nyekundu:



Kama unatumia leseni ya udereva, namba ya kitambulisho imezungushiwa kwa rangi nyekundu:



Pia utaunganisha akaunti yako ya Facebook kwa kuingia kwenye akaunti hiyo. Usiwe na wasiwasi maelezo yanajieleza vizuri.
Hakikisha hauombi mkopo kipindi cha kutengeneza akaunti. 

Baada ya hayo sasa ni muda wa kufanya setting kwenye akaunti yako. Bofya alama ya menyu (ipo juu kushoto na ina mistari mitatu yenye rangi nyeupe).

Ingia sehemu iliyoandikwa akaunti yangu




Kipengele cha promosheni kiache bila kubadilisha chochote.
Nenda kwenye “Akaunti yako ya fedha” hakikisha namba iliyopo ni sahihi kama si sahihi ihariri.
Nenda kwenye kipengele cha “Habari Binafsi” Hakikisha jina rasmi lipo, namba halali ya kitambulisho pamoja na tarehe ya kuzaliwa. Ingiza barua pepe (e-mail address) yako
Ingia kwenye kipemgele cha “Usalama” kisha ingiza PIN ambayo utaikumbuka, ili kuilinda app yako isitumiwe ovyo na watu wengine.



JINSI YA KUTIMIZA VIGEZO
Baada ya kutengeneza akaunti sasa ni muda wa kuhakikisha unapata vigezo vifuatavyo:
1. Kuweka kodi ya mualiko
2. Kukopa na kulipa mkopo wa kwanza

Usiwe na wasiwasi kuhusu namna ya kuanza, maana tutakuelekeza namna ya kufanya kiurahisi.

Bonyeza kwenye alama ya menyu, kisha chagua promosheni



Mahali palipoandikwa ingiza kodi uliyopokea ingiza kodi hii:
9J1SMY
Baada ya hapo bofya kwenye kitufe kilicho andikwa “Tumia kodi maalumu” na hapo kigezo cha kwanza kitakuwa tayari.



Sasa ni muda wa kwenda kuchukua mkopo wa awali. Bofya alama ya menyu na uingie kwenye “Mkopo wangu.



Chagua mkopo wenye kiasi cha Tsh5,000/= ambao una riba ya Tsh892/=. Kisha bofya kitufe kilichoandikwa “Omba Mkopo Huu”



Dhibitisha akaunti unayotaka utumiwe mkopo kama ni sahihi. Kama si sahihi waweza kubadilisha. Kama ni sahihi bofya kitufe kilichoandikwa “Tuma maombi”.

Subiri ndani ya masaa nane, mkopo wako utatumwa kwenye akaunti yako ya M-Pesa. Baada ya kupokea mkopo usiutumie kwa jambo lolote subiri ndani ya masaa 10 hadi 24 baadaye ili ufanye malipo. Hii itakufanya ukubaliwe haraka.
Baada ya masaa 10 au 24 kupita basi lipa mkopo kwa kutumia hatua zifuatazo:

1. Piga *150*00# ili kufungua menyu ya M-Pesa, kisha chagua namba 4 “LIPA kwa M-Pesa”.



2. Kisha chagua namba 4 “Weka namba ya kampuni”



3. Kwenye “Weka namba ya kampuni” andika namba 256699 ambayo ni namba ya BRANCH INTERNATIONAL C2B, kisha endelea.



4. Kwenye “Weka namba ya kumbukumbu ya malipo” weka namba yoyote yenye tarakimu angalau tano, kisha endelea.



5. Kwenye “weka kiasi” ingiza 5892 ili kulipia deni zima, Kisha endelea.



6. Weka namba ya siri kisha endelea.



7. Utapata ujumbe kama huu. Bonyeza 1 kuthibitisha.
  


Utapata ujumbe kutoka Branch kwamba umeshalipa deni. Hongera sasa ni muda wako wa kuingiza kipato.


JINSI YA KUPATA PESA
Hapa unatengeneza pesa kwa kukaribisha marafiki kwenye app ya BRANCH
Ukimkaribisha rafiki 1 utapata Tsh 10,000/=
Ukikaribisha marafiki 10 utapata Tsh100,000/=
Ukikaribisha marafiki 100 utapata Tsh 1,000,000/=
Na zaidi kwa kadri utakavyo weza wewe.
Ukiwa kwenye app yako ya BRANCH bofya alama ya menyu kisha ingia kwenye “Pata Tsh10,000”
  



Hapa utaona namba yako maalumu ambayo marafiki utakaowakaribisha wataitumia kama kodi ya promosheni.



Unaweza kukaribisha marafiki kwa kutumia SMS, email, au mitandao ya kijamii kama Facebook, Whatsapp na Instagram au  blog kwa wale wamiliki wa blog.
Kila rafiki unayemkaribisha kisha akiingiza kodi yako ya promosheni, basi utapata Tsh10,000/= pale atakapolipa mkopo wake wa kwanza.
Pesa utaipokea kwenye akaunti yako ya M-Pesa pale utakapoomba mkopo mwingine.

ASANTE SANA